HALI ya Lil Wayne imezidi kua nzuri kwasasa. Uthibitisho kutoka kwa
madaktari ni kua ameshatolewa ICU na kuwekwa chumba cha kawaida na
alionekana mpaka kuweza kula chakula huku akiwa amezungukwa na ma
Bodyguards wake na hiyo ikiwa ni ishara ya kua Weezy anaweza kuruhusiwa
hivi karibuni...
No comments:
Post a Comment