MAADHIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE MKOANI IRINGA
wanafunzi wa shule ya msingi ktk picha ktk siku ya mwanamke jana mkoani iringa
karibu bagia za kalenga
pichani juu ni mkuu wa mkoa wa iringa Christine Ishengoma na Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya mwanamke iliyofanyika kimkoa Kalenga mkoani Iringa jana.

No comments:
Post a Comment