March 15, 2013

JUMA NATURE AKAMILISHA NGOMA YAKE NA TUNDAMAN
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature amekamilisha kufanya ngoma yake mpya huku akimshirikisha msanii TUNDAMAN na amedai ataidondosha ngoma hiyo jumamosi hii...kaa mkao wa kula!

No comments: