SHINDA TSH 50,000 KTK MTANDAO WA FRANCISGODWIN.BLOGSPOT
Katika kuadhimisha miaka 9 ya
kuanzishwa kwa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com (mzee wa
matukio daima) tumekuandalia zawadi ya Tsh 50,000 kwa msomaji bora wa
mtandao huu kwa mwezi huu wa tatu .
Ili ushinde ni lazima uingie kila
siku na kila wakati na kutuma maoni yako kwa kila siku kwa habari
husika hivyo maoni yako yatahesabiwa na mshindi wa kutembelea na kutoa
maoni atazawadiwa Tsh 50,000 na mshindi wa pili Tsh 20,000
Mtandao huu unasema ahsante mdau kwa kutufikisha hapa leo


No comments:
Post a Comment