April 1, 2014

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Rukwa  Mhe. Hypolitus Matete (aliyenyoosha mkono) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abdulrahman Kinana mandahari ya eneo la Ziwa Tanganyika, linalotumiwa na wavuvi katika eneo la Kabwe wilayani Nkasi mkoani humo, Kinana alipokuwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua katika eneo hilo la Wavuvi leo.

No comments: