January 24, 2013

DK. ASHA-ROSE MIGIRO KTK MAZUNGUMZO NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI
BALOZI huyo Thien akimuaga Dk. Asha-Rose Migiro akiwa tayari kuondoka kurejea ofini kwake baada  ya mazungumzo yao. Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Martine Shigela.
(Picha zote na Bashir Nkoromo- Daily Nkoromo Blog)

No comments: