RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso
Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment