January 31, 2013

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa Mhe. Steven Mhapa akifungua kikao cha Baraza la Madiwani kujadili mambo mbalimbali ya kimaendeleo na changamoto zinazoikabili halmashauli hiyo.

No comments: