January 23, 2013

MATATA MWANAMITINDO BORA AFRIKA 2012



MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ambaye ameng’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka 2012 (Africa’s Most Outstanding Model 2012).

No comments: