POLISI IRINGA YAPATA MSAADA WA PIKIPIKI 15
Picha kwa hisani ya Denis Mlowe.
JESHI la Polisi mkoani Iringa limepokea msaada wa pikipiki 15 kutoka Polisi makao makuu kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa "Mkaguzi wa Tarafa" wenye lengo la kupambana na kasi ya uharifu katika jamii.
No comments:
Post a Comment