RAIS mstaafu Ali Hassan Mwinyi
(kushoto) akizungumza na Wajumbe waTume ya Mabadiliko ya Katiba
walioongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba (kulia).
Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo mstaafu jana Jumamosi ili kupata
maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
(Picha Zote na Tume ya Mabadilijo ya Katiba)


No comments:
Post a Comment