January 27, 2013

MWANASHERIA Mkuu wa zamani wa Serikali, Mhe. Andrew Chenge akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika jana katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.

No comments: