March 2, 2013

PICHANI juu ni washiriki wa semina ya wajasiliamali katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa VETA Iringa na kufunguliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Mjini Bi. Theresiua Mahongo.
picha na Zaina Maeda

No comments: