ZOEZI LA KUAGA MWILI YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI MUFINDI LIKIENDELEA
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la IDYDC na NURU Fm wakiwa Mafinga
katika msiba huo ambao unamhusu pia mkurugenzi mtendaji wa shirika
hilo la radio Nuru Fm Bw Nkoma ambae aliyefarika ni dadake
RTO Iringa (kulia) akiwa na askari wake
Mwili ukiingizwa katika gari kwa ajili ya safari ya kwenda Ruvuma kwa mazishi
Viongozi wa jeshi la polisi wakiaga mwili huo wa askari wa usalama
barabarani Lizy Nkoma jana mjini Mafinga baada ya askari huyo kuugua.
picha zote kwa hisani ya blog ya francisgodwin
No comments:
Post a Comment